Thursday, December 17, 2015

THE NIGHT OF MAJI MAJI AWARD

 Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC), wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa usiku wa utoaji wa tuzo ya Majimaji
   Kaimu Mkurugenzi wa LHRC,Imelda Lulu Urio(wa pili kutoka kulia) akiwa na Mwenyekiti wa tume ya taifa ya haki za binadamu na utawala bora(wa pili kutoka kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa LHRC
On the front-line of ensuring Just and Equitable society...


    Real men protect their societies from human rights violence. Join with us.
     We just want to see Just and Equitable society. And you?


    We are organized

HAPPY HUMANRIGHTS DAY (10/12/2015)

Sauti ya wananchi 

Baada ya kufanya kazi kwa uadilifu,ubunifu na kwa kujituma.Tuna furahia jitihada zetu na kupongezana
Hatua kwa hatua,mpaka kufikia jamii yenye haki na usawa

Tunapokuja pamoja na kukaa pamoja kwa ajili ya taifa letu

We are writing a new story,which will be shared with the rest of Tanzanian generations. Viva LHRC